Kati Ya Ibada

Tuko ready
Tuko ready
Come and do what only you can do
what only you can do

Though I keep falling and falling down
Father You remain faithful
Kuna time nilichoma
Nikadhani umechoka
Bado ulikua hopeful

Kwa upendo wako watembea nami kila siku
Kweli we ni Baba mtrue
Rafiki wakaribu Uuh

Gathered in Your name
Lifting up our hands
Tumekuja hapa kuabudu
Gathered in Your name
Lifting up our hands
Tumekuja hapa kuabudu

Kati ya ibada Baba tokea
Waliofungwa wafungue
Twakungojea
Kati ya ibada Baba tokea
Sisi wana wako tuko ready kukupokea pokea kukupokea
Tuko ready kukupokea
Tuko ready kukupokea
Tuko ready kukupokea pokea pokea
Tuko ready kukupokea
Tuko ready kukupokea
Tuko ready kukupokea pokea pokea

Tuko ready
Tuko ready
Tuko ready
Tuko ready

Eyy mwanga umetokea giza haliwezi kaa haliwezi kaa
Na sasa tunaonana
Ni kama umewasha taa umewasha taa
There things that will not survive where you are
Dead things come to life where you are
where you are

And now we're gathered in Your name
Lifting up our hands
Tumekuja hapa kuabudu
gathered in Your name
Lifting up our hands
Tumekuja hapa kuabudu

Kati ya ibada Baba tokea
Waliofungwa wafungue
Twakungojea
Kati ya ibada Baba tokea
Sisi wana wako tuko ready kukupokea pokea kukupokea
Tuko ready kukupokea
Tuko ready kukupokea
Tuko ready kukupokea pokea pokea
Tuko ready kukupokea
Tuko ready kukupokea
Tuko ready kukupokea pokea pokea

Tuko ready oooh tuko ready
Tuko ready Baba tuko ready
Tuko ready Tuko ready kukuona ukifanya
Tuko ready ooh hatutoki hapa
Tuko ready ooh tuko ready Bwana tenda
Tuko ready tenda



Credits
Writer(s): Emmanuel Makau
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link