Doctor

Nimepata tabibu
Kwa kila kitu ye ndo jibu
Hakuna ugonjwa atibu
Anaondoa ata aibu

Anaponya moyo akili
Anakuacha kamili
Akiingia moyo ata mwili
Anabadili juu chini

He's my hee hee healer
Ahhhh
Yesu ndo jiii iiii ina
Ahhhh

He's my hee hee healer
Ahhhh
Yesu ndo jiii iiii ina
Ahhhh

Nimepata doctor doctor
Nimepata doctor
Nimepata doctor doctor
Nimepata doctor

Sasa naimba nimepona ah
Nimepata doctor
Sasa naimba nimepona
Ahhhh
Nimepata doctor

alipigwa ndo nipone
Ndo mi nipone
Mazuri mi nione
Mazuri mi nione
Damu matone
Alimwaga matone
Ndio anikome
Shetani anikome

Ye ndo power
Uliza Wahome ye ndo dawa
Akicome through tuko sawa
Kama kawa
Kuponya kwake kama kawa
Akicome blessings zinashower

Bila mapepee
Anaponya ata viwete
Bila mapepee
Magonjwa yanaona tu machechee

Bila mapepee
Anaponya ata viwete
Bila mapepee
Magonjwa yanaona tu machechee

He's my hee hee healer
Ahhhh
Yesu ndo jiii iiii ina
Ahhhh

He's my hee hee healer
Ahhhh
Yesu ndo jiii iiii ina
Ahhhh

Nimepata doctor doctor
Nimepata doctor
Nimepata doctor doctor
Nimepata doctor

Sasa naimba nimepona ah
Nimepata doctor
Sasa naimba nimepona
Ahhhh
Nimepata doctor

Sote tuimbe tumepona
Tumepona
Tukatike tumepona
Tumepona
Ametugusa tumepona ah
Tumpepona
Ametuponya tumepona ehh ehhh
Tumepona

He's my hee hee healer
Ahhhh
Yesu ndo jiii iiii ina
Ahhhh

He's my hee hee healer
Ahhhh
Yesu ndo jiii iiii ina
Ahhhh

Nimepata doctor doctor
Nimepata doctor
Nimepata doctor doctor
Nimepata doctor

Sasa naimba nimepona ah
Nimepata doctor
Sasa naimba nimepona
Ahhhh
Nimepata doctor



Credits
Writer(s): James Mukige
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link