Umenishangaza

DG
Nilijua utafanya
Ila sikujua ni kwa namna hii
Baba nilijua utatenda
Ila sikujua ni kwa namna hii
Umenishangaza umenishangaza
Maana sikujua ni kwa namna hii
Kweli umenishangaza umenishangaza
Maana sikujua ni kwa namna hii
Nilijua
Nilijua utafanya
Ila sikujua ni kwa namna hii
Nilijua utatenda
Ila sikujua ni kwa namna hii
Nilijua utafanya
Ila sikujua ni kwa namna hii
Nilijua utatenda
Ila sikujua ni kwa namna hii
Umenishangaza umenishangaza
Maana sikujua ni kwa namna hii
Umenishangaza umenishangaza
Maana sikujua ni kwa namna hii



Credits
Writer(s): Joel Lwaga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link