Butterfly

In my mind
Bado nakumbuka tulivyopatana nikibuy fries
Ulikua na sistako kadogo na kameiva oh maii
Tabasamu lako likafanya nipate butterflies fly fly
I mean butterflies fly fly
Butterflies fly fly

Nilichachisha na ka roll on, nisinuke jasho
Nikakuinvite kwangu majioni Netflix na xbox
Hukuboeka nilikuchekesha sikukwangusha nilikuwasha
Kama shada penzi lako mi lilinichoma
Wala sikutanga tanga mi nilipokuona
Mi siezi cheza chini mi ni Maradona
Hatuachani kamwe sisi sio simba na dona

I mean butterflies fly fly
Butterflies fly fly
Butterflies fly fly
I mean butterflies fly fly

Ooooh zamani nakumbuka tulivyokutana
Pale maskani ulipopitia hukuniacha salama aaagh
Achana na odi atakuchezea mmmh
Wengine masoshi hawajaolea mmmh
Tulipotoka na tunapoenda na
Ooooh ni mbali
Tulipotoka na tunapoenda na

Oooooh ni mbali

Butterflies fly fly
I mean butterflies fly fly
Butterflies fly fly
Butterflies fly fly

Ushasemaaa ushasemaaaaaa na me
Nitaendaaa nitaenda na naweeeee
Ushasemaaa ushasemaaaaaa na me
Nitaendaaa nitaenda na naweeeee

Ushasema ushasemaaa na me
Nitaendaa niaenda na naweeee mmmmh mmmmhhh
Ushasema naaaa aaaagh ooooh eeeey

In my mind
Bado nakumbuka tulivyopatana nikibuy fries
Ulikua na sistako kadogo na kameiva oh my
Tabasamu lako likafanya nipate butterflies
Fly fly
I mean butterflies fly fly
Butterflies fly fly

Tulipotoka na tunapoenda na
Ooooh ni mbali
Tulipotoka na tunapoenda na
Oooooh ni mbali



Credits
Writer(s): Francis Ndereba Macharia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link