Woiye Drill

Woiye woiye odi wa muranga woiye woiye
Woi woiye woi woi woi woi woi woi
(kuna part inamiss)
Acha wabonge mgenge akishika ka quarter ka acre mnalia
Na kama ni pombe konyolo inafanya naota na bikra maria na kina itumbi
Kwa shortage hamuezi niona so buda angalia
Kuhanya ni calling hiii kitu si ya kila mseee buda tulia
Cheki wazing wanamua kutoa mizinga
Kwani umetii nilidhani utadinda
Hii ni ya wathiii na logo nac
Kwani umetii na morio mapua ulikuanga umefurisha
Tangu ujipin huyo fala sijui sahi ka ataweza
Nikiwa 16 nikijengwa lojo yangu ilikuanga meza
Pang'ang'a ig ati lineage ya odi ilianza na ebeneza
Buda utatiii ka ngoko wako akona haga imeweza

Woiye woiye odi wa muranga woiye woiye
Woi woiye woi woi woi woi woi woi

Yu waogopa Kwenda mushatha nkiwa zero
Alipatanga hio mimba na yule kamino kuna part inamiss
Mtoi kazaliwa kaitwa ombiro
Badala ya



Credits
Writer(s): Francis Ndereba Macharia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link