Wangu

Yeah, yaw-yaw
Bombocla-a-a-a-a-t
(Click Master)
Aah, kutoka alooh

Kama utani moyoni ameingia nami nimeshzama
Tulikutana Tiktok ndo mwanzo wa kufahamiana
Mara ghafla bin vu kila kitu tunaendana, ah
Ameninasa ka' ulimbo sitaki acha kumtazama, eeh

Penzi mbona limenoga tamu kuzidi hata soda
Penzi mbona linamwagika kama maji ya bomba
(Penzi mbona limenoga tamu kuzidi hata soda)
(Penzi mbona linamwagika kama maji ya bomba)

'Asa nataka wajue unanipenda, niite baby (baby wangu)
Kwa wasio amini we ni wangu niite my (my wangu)
Hata ukinipost caption andika sweety (sweety wangu)
Wakija kukutongoza waambie nina mpenzi (mpenzi wangu)

Mh, aah, oh
(Konde Boy call me number one)
Mwombe Mungu uzima, tatizo la mapenzi kanituma mimi
Nikupee, nikupee
Iwe mabonde, milima we fly any weather
Rubani ndo mimi wa upendo (nikupee, nikupee)
Mwoga wa kucheat nawe, yes
Vya uongo ndo kabisa siwezi
Jua likizama, unaotamba ni mwezi
Nakupost wajue sijiwezi, baby

Ona, penzi mbona limenoga tamu kuzidi hata soda
Penzi mbona linamwagika kama maji ya bomba
Penzi mbona limenoga tamu kuzidi hata soda
Penzi mbona linamwagika kama maji ya bomba

Mi' nataka wajue kwamba unanipenda, niite baby (baby wangu)
Na kama ukiniposti Snapchat, niite my (my wangu)
My one and only my love my sweet (sweety wangu)
Wakija kukutongoza wajibu we una mpenzi (mpenzi wangu)

Bombocla-a-a-a-a-t



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link