Pini

Kutoka alooh
(It's Kaniba)

Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to
Moyo wake na pini to, to, ooh, to

Mbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye mataa
Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema
Kila unachokiona ndio kuwa uyaone sio hayo mataa
Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema

Oh, ubaya ubwela mi' shabiki wa Simba
Ukichapa la kushoto nachapa la kulia simuachii Mungu
Usilete usela kwa msela mi' sijawahi kushindwa
Ulinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa Mungu

Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)
Najifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)
Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)
Napata habari ex wangu anaumia, ah

Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to
Moyo wake na pini to, to, ooh, to

Ay, mama, we
Mmh, whoa, ooh-ooh
Naona furaha
Mimi nilinung'unika
Nilitokwa machozi yasiyofutika
Nilisurubika nikapata stress za kutaka kufa
Si ulinidharau, hu-hu
Ulivyopata wadau, uh
Walivyopanda dau
Ukanitupa ukaniona nyang'au, uh
Sa'hivi mejipata umechacha umechunda unikomeee, eh
Si ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui
Mwenzako nishajipata napewa mapasi ya Pacome, eh
Si ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui

Henhe
Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)
Najifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)
Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)
Nimepata habari ex wangu anaumia, lo-lo-lo-lo-lo

Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to
Moyo wake na pini to, to, ooh, to

Ay, mama, we
Naona furaha
Nasikia raha, to, ooh, to
Ay, we totolilo, to
Moyo wa
Oh, moyo wake na pini
Shauri yake
Kutokaa

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link