Rahisi

Miaka miwili imepita ukiwa namii
Kwenye dhiki ukanifariji bila nafsi
Itabidi tukiandikishe kanisani
Tuzidi chora hadithi yetu hadharani
Ni rahisi kuwa nawe wajua
Kila alfajiri niione yako sura

Twende na wewe nyumbani
Tukawaone wazazi
Nikuvishe pete uwe we peke
Wangu wa milele
Twende na wewe nyumbani
Will you marry me
Marry me

Sidhani unajua vile mimi hukuenzi
Na wapinzani wote sisi hawatuwezi
Niko tayari kuwa na wewe milele
Je uko tayari kupaa tuwe kama ndege
Ni rahisi kuwa nawe wajua
Kila alfajiri niione yako suraaa

Twende na wewe nyumbani
Tukawaone wazazi
Nikuvishe pete uwe we peke
Wangu wa milele
Twende na wewe nyumbani
Will you marry me
Marry me
Will you marry me
Ai mama we ndo napenda
We ndo napenda we ndo napenda
Ai mama we ndo napenda
We ndo napenda we ndo napenda



Credits
Writer(s): Shadrack Mutungi, Edgar Onyach
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link