Sherehe Ya Disemba (Official )

Kama unaenda
Pete na vitenge zote beba
Utavaa na mtu wako mtatesa
Ni Sawa umepata someone better
Nitaziweka
Picha za sherehe ya disemba
Vile tulikata bila chaser
Hadi ukasema unanipenda

Nibusu tena
Kabla Hujaenda
Kama Disemba
Na unikumbatie
Usiniwachilie

Nitakukumbuka

Mi Sitafuti better than you
Nataka mmoja better for me
Enda utolewe Matching tattoo
Nusu ya roho haina meaning
Ambia mathe mi Niko fiti
Asinitafute
Situation ni tricky
Itabidi ajue
Uniweke polepole
Roho yangu niokote
Kabla umati ikanyage

Nibusu tena
Kabla Hujaenda
Kama Disemba
Na unikumbatie
Usiniwachilie

Nitakukumbuka

Kama unaenda, Pete na vitenge zote beba
Utavaa na mtu wako mtatesa
Ni Sawa umepata someone better
Nitaziweka
Picha za sherehe ya disemba
Vile tulikata bila chaser
Hadi ukasema unanipenda



Credits
Writer(s): Shadrack Mutungi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link