Bwana Yesu

Bwana Yesu
Bwana Yesu
Kimbilio langu ni wewe baba
Tumaini langu liko kwako Yahweh
Mimi sina uwezo
Sina Bwana mwingine ila wewe
mimi sina uwezo
sina Bwana mwingine ila wewe

Wewe ndiwe baba yangu
Msaada wangu wa Karibu
Wewe ndiwe baba yangu
Msaada wangu wa Karibu

Hallelujah hallelujah baba
Ulinifia mwokozi wangu
Dhambi zangu zote ukaziosha
Sijapata mwingine
Dunia yote kama wewe Yahweh
Sijapata mwingine
Dunia yote kama wewe Yahweh

Nakuinuwa
Nakuinuwa
milele milele nitakuimbia
Kwa yale umenitendea baba nakusifu
Milele milele
Milele daima Bwana wangu
Milele milele
Milele daima Bwana wangu

Wewe ndiwe baba yangu
Msaada wangu wa Karibu
Wewe ndiwe baba yangu
Msaada wangu wa Karibu

Hakuna hakuna nasema
Hakuna kama wewe
Mbinguni na dunia Hakuna
Hakuna kama wewe
ulimwengu wote tuseme
Hakuna kama wewe



Credits
Writer(s): Eunice Njeri Mathenge
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link