Natamani

Natamani
Babaa kua nawe,
Natamani kua
Babaa natamani kua nawe
kuishi nawe kukaa na wewe.
Yesu uuh wewe wanitosha
Bwana wangu nakutamanii.
Baba natamani uwe wangu nami niwe wako
Chote kiliko changu kiwe ni chako bwana pia
Upendo wangu kwako yesu ni kama motooo
Nimekukimbilia nisiaibike Mileleleeee eeh baba ooooh
Babaa natamani kua nawe kuishi Nawe kukaa nawewe kila siku babaaa.
Yesuuu wewe wanitosha bwana wangu nakutamaaniiii
Bwana nimeona
Upendo wako sio kwamba,
Moyo wangu wafurahi ndani ya wakovu wako.
Nitakuinua umekua mwema kwangu.
Pokea sifa wewe umekua mwema kwanguuuu.
Wewe mwema
Babaa natamani kua nawe kuishi nawe kukaa na weweeeee.
Yesu uuh wewe wanitosha Bwana wangu nakutamaniiii
Ntakuitaa hadi moyo wangu uzimie
Uniongoze kwenye mwamba ulio juu
Zaidi yangu uuh .nawee aaah.
Ntakuita bwana wangu unisikie Ombi
langu, sifa zangu, kilio changuuu.eeh bwana.
natamani
Ninapoomba,
Wanisikia eeh,
Ninapoimba,
Wanisikia eeh,
Ninapolia, mimi,
Wanisikia eeh,
Ninapokuita eeh bwana,
Wasema wanisikia
Babaa natamani kua nawe,
Kuishi nawe kukaa na wewee eeeh
Yesu uuh wewe wanitosha,
Bwana wangu nakutamaniii
Babaa natamani kua nawe,
Kuishi nawe kukaa na wewee eeeh
Yesu uuh wewe wanitosha,
Bwana wangu nakutamaniii
Bwana wangu nakutamaniii
Yesuu tosha
Tamaniii babaa...
Hakuna kama wewe
Wanaitisha mileleeee Yahweh



Credits
Writer(s): Eunice Njeri
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link