Nibariki

Nimechoka mateso
Nimechoka tabu
Baba Mungu naja kwako
Nibariki na mimi
Kila siku taabu
Kila siku kilio
Machozi na huzuni baaba
Wenzangu wananicheka
Nipitapo kwenye taabu
Baba naja kwako
Nibariki na mimi
Nimechoka kutamani vitu vizuri vya wenzangu
Nami nakuja kwako
Nibariki na mimi
Ikiwa ni laana
Ikiwa ni mikosi
Ilikwisha msalabani baaba
Neno lako linasema
Niite nitaitika
Nami nakuita bwana
Nibariki na mimi
Nibariki, nibariki, nibariki Bwana
Nibariki, nibariki uniguse bwana

Majirani wananishanga
Wengine wananichekaa
Eti kwasababu ya shida mimi
Nimekua kituko nikipita kwa wenzangu
Nimekua kichekesho mimi
Watoto wangu wana shida
Ndugu zangu wantaabu
Yesu nakuja kwako
Nikumbuke bwana
Nami nimekuamini
Nami nakungojea
Kwako nanyenyekea
Nibariki na mimi
Nimechoka mateso baba
Nimechoka kilio
Nimechoka taabu
Nibariki bwana
Nibariki, nibarik,i nibariki Bwana
Nibariki, nibariki uniguse Bwana

Nibariki (nibariki) nibariki (nibariki) nibariki (nibariki) Bwana
Nibariki (e le le baba) nibariki (nibariki) uniguse (baba) Bwana
(Nakuja kwako) nibariki (na inua mikono) nibariki (na inua mikono) Bwana
(Baba nibariki nami) nibariki (nibariki) nibariki (nibariki)
Nibariki (nibariki baba) uniguse Bwana
(Nime tchoka mateso) nibariki (nibariki) nibariki
(Nibariki) nibariki (nibariki) nibariki Bwana
Nibariki (nibariki) nibariki (nibariki baba) uniguse Bwana
(A unikumbuke namimi) nibariki (nibariki baba) (nibariki)
(Nibariki Jehovah) nibariki 'halleluay) Bwana
Nibariki (halleluiay) nibariki ((halleluiyah)) uniguse (uniguse) Bwana
(Hayo) nibariki (nibariki baba) nibariki bwana (nime tchoka nibariki)
Nibariki (nibariki) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana
Halleluiyah

Nikifika Kanisani, najiuliza mara mbili, sadaka nitatoa nini? mimi
Wenzangu wainukapo, waelekea madhabauni
Namimi najibarafu zangu sina cha kukupa
Baba nakuja kwako, msalabani nainama, Macho yangu nainua, nibariki Bwana
Ikiwa ni laana, ikiwa ni mikosi, ilikwisha msalabani, nikumbuke Bwana
Nikumbuke, nikumbuke, nikumbuke Baba
Nikumbuke, nikumbuke nibariki namimi

Naamka asubuhi, naamka asubuhi
Alfajiri na mapema, naenda niendako
Natafuta riziki, mtchana Kutwa wa juakali
Mvua ndio kivuli changu Baba
Nimesikia ya kwamba ulimbariki Sarah
Baba nakuja kwako nibariki namimi
Nimesikia tenalLeo ulimbariki Abrahamu
Nami nimekuja kwako nibariki Bwana
Nimechoka masimango, nimechoka manyanyaso, nimechoka kuonewa
Naja Kwako Bwana
Nibariki, nibariki, nibariki Bwana
Nibariki, nibariki, nibariki uniguse bwana

Nibariki, nibariki (nibariki baba) nibariki (nibariki) Bwana
Nibariki (halleluiyah) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana
(Hayo) nibariki (nibariki baba) nibariki (nibariki) nibariki Bwana
(Unikumbuke baba) nibariki (nibariki) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana
(Yelele baba) nibariki (yelele baba), nibariki (nibariki) nibariki Bwana
(halleluiyah) nibariki, nibariki uniguse Bwana
(Nibariki na mimi Bwana) nibariki (nibariki baba) nibariki
(Nibariki na mimi) nibariki (halleluiyah) nibariki Bwana
(Halleluyah nikumbu baba) nibariki (nikumbuke baba) nibariki uniguse Bwana
(Nitembeleye Bwana) nibariki (nibariki nami) nibariki (niguse Bwana) nibariki Bwana
(Niguse namimi) nibariki (niguse baba) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana



Credits
Writer(s): Rose Muhando
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link