Pindo La Yesu
Rose, Rose, Rose, Rose, Rose
Mama, mama, mama, mama
Ah kamata pindo la Yesu (shikilia)
Ale kamata pindo la Yesu (shikilia)
Usimwache aende zake (shikilia)
Usimwache akuponyoke (shikilia)
Usimwache akuponyoke (shikilia)
Ale, kamata kamata kamata (shikilia)
Ale kamata kamata kamata
Kamata kamata kamata kamata
Pindo, shikilia
Aii, aii
Yule mwanamke aliyetokwa na damu
Miaka kumi na miwili, kasikia Yesu anapita
Akasema leo sikubali lazima nipone
Leo ni leo lazima nipone ugonjwa wangu
Haijalishi umati wa watu mkubwa kiasi gani
Haijalishi majirani nao wananitazama vipi
Haijalishi marafiki nao wanasema nini
Leo ni leo iwe isiwe lakini lazima nipone
Haijalishi wanafiki nao eti watasema nini
Wachawi sikilizeni leo ni leo lazima nipone
Nitakwenda nitakwenda nitakwenda
Nitapenya nitapenya, nitagusa pindo la Yesu nipone
Mama, mama, mama, mama
Ona leo unateseka wewe eti na magonjwa yako
Yesu anapita leo anasema njooni kwangu
Anapita mlangoni lakini umenyamaza kimya
Anapita nyumbani kwako we na umenyamaza kimya
Anasema njooni kwangu lakini umenyamaza kimya
Umasikini umekuwa tatizo maishani mwako
Magonjwa yamekusonga wala hujui wapi pa kwenda
Wachawi wamekubebenya nawe hujui wapi pa kwenda
Peleka magonjwa yako mwenzangu kwa yesu ili upone
Haijalishi mpenzi wako wa zamani atasema nini
Peleka mizigo yako kwa Yesu ili upone
Usijali majirani eti nao watasema nini
Usijali marafiki nao watakwonaje
Mizigo ni yako Peleka kwa yesu upone
Magongwa ni yako pelekakwa yesu upone
Jipenyeze, jipenyeze, jipenyeze
Jipenyeze, jipenyeze
Gusa, gusa ale gusa, gusa
Gusa pindo la Yesu upone
Ah kamata pindo la Yesu (shikilia)
Kamata pindo la Yesu (shikilia)
Kamata usiachiye (shikilia)
Kamata usimwache aende zake (shikilia)
Kamata sawa sawa usimwache (shikilia)
Aie, kamata pindo la Yesu (shikilia)
Ale kamata kamata kamata
Kamata kamata kamata kamata
Pindo, shikilia
Yesu akienda Jeriko (mng'ang'anie)
Nasema (mng'ang'anie)
Akienda Jerusalemu eh (mng'ang'anie)
Usimwache (mng'ang'anie)
Akienda Kaisaria (mng'ang'anie)
Usimwache (mng'ang'anie)
Nasema, ng'ang'ana v ng'ang'ana ng'ang'ana (mng'ang'anie)
Usimwache (mng'ang'anie)
Nasema, ng'ang'ana ng'ang'ana ng'ang'ana ng'ang'ana
Twende
Ale kamata kamata kamata
Kamata kamata kamata kamata
Pindo, shikilia
We kamata pindo la Yesu usimwache aende zake
Kamata pindo la Yesu shikiliya
Shikiliya kwa mikono mwili kamata
Kamata kabisa
Aie ii, aie ii, aie ii, aie ii
Ni nani mwana ume kama Yesu?
Hakuna
Anae weza kuponya magonja (hakuna)
Anae weza kuokowa (hakuna)
Nani mwana ume kama Yesu?
Hakuna
Nasema nani mwana ume kama Yesu?
Hakuna
Anae weza kufufuwa (hakuna)
Anae ponya ndoa zilizo bomoka (hakuna)
Anae ponya magonja sumu (hakuna)
Anae komesha washawi wote (hakuna)
Anae komesha wenye kiburi (hakuna)
Ale kamata kamata kamata
Kamata kamata kamata kamata
Pindo, shikilia
Aie ii, aie ii
Ah iye, ah iye
Jamani kwa Yesu (salama) ah iye (salama)
Ukiwa kwa Yesu eh (salama) ah iye (salama)
Mama, mama, mama, mama, mama ah iye (salama)
Mama, mama, mama, mama, mama ah iye (salama)
Peleka kwa Yesu eh (salama)
Ah iye (salama) magonjwa yanapona ah iye (salama)
Mama, mama, mama, mama, mama ah iye (salama)
Mama, mama, mama, mama, mama ah iye (salama)
Ah uoh (salama)
Ah iye (salama) uchawi una koma (salama) ah iye (salama)
Magonjwa yanapona kwa Yesu ah iye (salama)
Ah iye (salama) ah ii (salama) ah ii (salama)
Jamani kwa Yesu eh (salama) ah iye (salama)
Salama kwa Yesu (salama) ah iye (salama)

Credits
Writer(s): Rose Muhando
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.