Nangoja

Ohh!! Damu ya Yesu
Imenifanya ning'are
Still alive!
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Wee umenifanya ning'are Yesu

Wewe waitwa nuru
Eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu mi nang'ara
Ndani ya hiyo nuru
Eti kuna uzima
Ukiingia kwangu nina uzima
Uso wake Yesu aliye sura yake Mungu
Umeingia kwangu mi nang'ara
Nuru ya injili utukufu wake Kristo
Umeingia kwangu mi nang'ara

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Wee umenifanya ning'are Yesu

Iinuka uangaze weh!
Nuru yako imekuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Mataifa watakujia
Wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Iinuka uangaze weh!
Nuru yako imekuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Mataifa watakujia
Wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Wee umenifanya ning'are Yesu
Halleluyah!
Kumtumikia Mungu kuna faida!

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
YESU



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link