Napenda

Napenda nione ukinitendea, napenda nione ukinibariki
Napenda nione ukiniinua, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda nione ukiniponya, napenda nione ukinifariji
Napenda nione ukiniinua, kila kitu kwako Bwana, mimi napenda

Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda
Yesu eh, mimi napenda, mambo yako napenda
Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda

Napenda neno lako, napenda hekima zako
Napenda sifa zako Yesu, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda hukumu zako, napenda huruma zako
Napenda rehema zako, kila kitokacho kwako mimi napenda

Napenda neno lako, napenda hekima zako (penda, penda)
Napenda sifa zako Yesu, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda hukumu zako, napenda huruma zako (penda)
Napenda rehema zako, kila kitokacho kwako mimi napenda

Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda
Mufalme nakupenda, habari zako nazi penda
Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda

Napenda utawala wako, napenda ahadi zako
Napenda njia zako Yesu, na mafudisho yako
Na ukarimu wako

Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda
Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda
Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda

Napenda, napenda Yesu, na penda (kila kitokacho kwako mimi napenda)
Kibali chako (kila kitokacho kwako mimi napenda)
Na upole Wako (kila kitokacho kwako mimi napenda)
Oh, napenda, napenda Yesu, na penda (kila kitokacho kwako mimi napenda)
Napenda, napenda, na penda, na penda (kila kitokacho kwako mimi napenda)
Oh, na kibali chako (kila kitokacho kwako mimi napenda)

Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link