Kila Mmoja - Feat. Chege Tmk And Lady B

nilipatana na uyu dem mtaa moja kalifonia pumwani

mpaka ya Leo ye upandaga namimi jukwaani

nikiroga watu na ngoma zangu Kali
nikonaye kwa ivyo jua tumetoka mbali
madem karibu wote walikua wamepigwa maball
mtaani ye ndo vajo ananitumiaga mamisdcall
ananilike lakini ananichorea
cv yake anaonaga nikaa namchomea
lakini polepole tu ndo mwendo
kidogo kidogo akaanza kunionesha tu upendo
nikamtoa kwa hao mahali alizaliwa
tukaangaikaangaika kutafuta
keja na Maxie's
ye pekee ndie alikua nami ata Nikiwa chini
tukikunywa strungi na mahamri za hamsini
musyoka alitueka kwa esto yake akatupa keja



Credits
Writer(s): Hubert Nakitare
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link