Yahwe Uhimidiwe

Yahwe Uhimidiwe,
uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Yahwe Uhimidiwe,
uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Uliumba lakini haukumbwa,
Jina lako jemedari, ninakuinua
Jina lako mkombozi, ninakupenda
Umefuta jina langu kwenye hukumu
Umefuta jina langu kwenye laana

Ndio maana ninakuina Mungu wangu ee
Kwa sababu siko tena chini ya dhambi ee

Yahwe Uhimidiwe,
uaminifu wako umejulikana

Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Yahwe Uhimidiwe,
uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh

Kama si wewe Yesu ningeitwa nani?
Kama si wewe Yesu Ningekuwa wapi?
Kama si wewe Yesu ningeenda wapi?
Kama si wewe Baba ningesema nini?

Asante Bwana Yesu kwa ukombozi
Asante Bwana Yesu Kwa wokovu
Ndio maana nakuinua Mungu wangu
Umeniokoa mimi kwa damu ya bei
Umenitendea mambo ya ajabu
Ninakuinua Baba yahweh

Yahwe Uhimidiwe,
uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Yahwe Uhimidiwe,
uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh

Majina yote mazuri ni yako baba
Unaitwa Jehova shammah, ninakupenda
Unaitwa Jehova Jehova Jireh, ninakupenda
Unaitwa Jehova Nissi bendera ya ushindi wangu
Asante Baba yangu kwa upendo wako
Hakuna Mwingine kama wewe
Hakuna Mwingine kama wewe
Ninakupenda Baba yangu

Yahwe Uhimidiwe,
uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Yahwe Uhimidiwe,
uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh



Credits
Writer(s): Angela Chibalonza
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link