Story Yangu

Nisikize (mtoto wa mama,
Hivi unavyoniona, ah mimi deno,
Nimetoka na mbali sana, eh)x2
88 kangemi nikazaliwa, ah
Ata mwangaza sikuwahi kuja kuona x2
(Refrain)
Story yangu,
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio,
me nataka simulia
(bahati)
Najua uchungu,
maswali mengi kwako moyoni
Kwa nini mola iwe hivi
Kwa nini mola iwe mimi,
Najua uchungu na mimi haunioni,
Niko na rasta lakini mboni,
Imefungika wapewa story,
99 mama alipoondoka,
sikiza nikupe story
Kumbuka ghetto ni ngori
99 baba akanitoka,
Sana ikawa machozi,
Mchanga na sijiwezi,
Maisha kung'ang'ana nikaona siwezi
Ndoto zangu nikatupa mbali, x2
Ila leo niko mahali,
Maisha kung'ang'ana nikaona siwezi
Kumbe mungu aliona mbali,
Ivyo mziki amenipa mimi

Nasema mungu ni mwema,
Stori zimebadilika,
Leo hii tunaimba wanabarikiwa, x2



Credits
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link