Siku Ya Kwanza

Ukaniahidi nikikupata ntakuwa mwana. .
Na ikawa wazi mimi na wewe hatutachaana na chako ni changu
Na changu ni chako. .ukanengha nguvu zangu, kachukua hisia zangu

Nikiwa hivi nikizunguka kusaka penzi,
Kwa ukarimu ukaniita eti kipezi,
Na mkono wako ukaunyoosha nikukeeti we, ili
Kunipa mi nia yako tangu tumbonI
Na ahadi nyingi kaniachia
Tabasamu kanimwagia weeh

Naskia ilikuwa karamu kubwa kukata ni shoka
Naskia ilikuwa hatua kubwa kwa yangu maisha,
Naskia malaika waliimba shangwe na zara, naskia ooh Naskia
Nakazana kufika ulikonijengea weh
Ndio unieleze kuhusu hio, hio



Credits
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link