Machozi

Ooh Bahati Bahati tena
Maachozi machozi ii,
Machozi mamaye
Machozi skiza papaye

Vidonda vichungu na fikra ona
Vile niliumia
Machozi machungu nakuta mbona
Hakuna vile ningeficha
Vidonda vichungu na fikra ona
Vile niliumia
Machozi machungu nakuta mbona
Hakuna vile ningeficha

Maisha yangu ya uswazi
Kasoro mali
Wapi wangu waniokoe
Napoteza mzazi uchungu wa mwana
Mbona Mola uniondoe
Maisha yangu ya uswazi
Kasoro mali
Wapi wangu waniokoe
Napoteza mzazi uchungu wa mwana
Mbona Mola uniondoe

Nilikosa hata moyo
Kucha poyoyo
Niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga
Nililia msela

Nilijawa machozi
Mbona mimi
Maswali kwa Mola
Mbona mimi
Nilijawa machozi
Mbona mimi
Mbona dunia uchungu
Mbona mimi

Nilijawa machozi
Mbona mimi
Maswali kwa Mola
Mbona mimi
Nilijawa machozi
Mbona mimi
Mbona dunia uchungu
Mbona mimi

Oooi oooi oooi oooi
Oooi oooi oooi oooi

Mziki kufanya
Nafanya napata gharama
Kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu
Niliota kupenya
Mziki ilifanya sana napata gharama
Kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu
Niliota kupenya

Ilikuwa uchungu mandugu zangu
Nilijawa naumia aai
Ilikuwa machozi sina hata pozi
Ila tumbo inalia aai
Ilikuwa uchungu mandugu zangu
Nilijawa naumia aai
Ilikuwa machozi sina hata pozi
Ila tumbo inalia aai

Nilijawa machozi
Mbona mimi
Maswali kuwa Mola
Mbona mimi
Nilijawa machozi
Mbona mimi
Mbona dunia uchungu
Mbona mimi

Nilijawa machozi
Mbona mimi
Maswali kuwa Mola
Mbona mimi
Nilijawa machozi
Mbona mimi
Mbona dunia uchungu
Mbona mimi

Oooi oooi oooi oooi
Oooi oooi oooi oooi

Ulofa naye ukaniweka chini
Niende wapi mwenzio
Niliangaika kuishi mjini
Mashambani hivo hivo
Ulofa naye ukaniweka chini
Niende wapi mwenzio
Niliangaika kuishi mjini
Mashambani hivo hivo

Niliandika wangu kuonyesha mapenzi
Hapo siku ya kwanza
Maulana kwangu ukakuwa mpenzi
Nilijua ukaniacha
Niliandika wangu kuonyesha mapenzi
Hapo siku ya kwanza
Maulana kwangu ukakuwa mpenzi
Nilijua ukaniacha

Nilikosa moyo kuchuna poyoyo
Niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga
Nililia msee aai

Nilijawa machozi
Mbona mimi
Maswali kwa Mola
Mbona mimi
Nilijawa machozi
Mbona mimi
Mbona dunia uchunga
Mbona mimi

Nilijawa machozi
Mbona mimi
Maswali kwa Mola
Mbona mimi
Nilijawa machozi
Mbona mimi
Mbona dunia uchunga
Mbona mimi

Mbona mimi
Mbona mimi
Si amini ni mimi leo
Maulana hayali mbivu oooh
Si amini ni mimi leo
Rabuka hafungi sikio

Mbona mimi
Mbona mimi
Si amini ni mimi leo
Maulana hayali mbivu oooh
Si amini ni mimi leo
Rabuka hafungi sikio



Credits
Writer(s): John None
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link