Pesa

Pesa
Pesa

This city will make you chase it
Every day trying not to be basic
Being broke, I hate it
Fiend for the paper
Gotta have it I'm shakin'
On my mind more than usual
Hakuna kitu mi siwezi fanya brathe
And I can never be frugal
Maisha Nairobi ni fupi aiseh
Nilizaliwa bila
Hatukuwa na skrilla
Siwezi kufa maskini
Hapana, duu, bilaz
Nataka Adidas, Nike na Fila
Matha anadai dinga, lazima biz itaiva
So kenye unataka, brathe mi nitauza
Juu wananidai rent, nisipo ntafukuzwa
Fake money, drug money
Gun money, it's all the same
Fake deeds, a lotta weed
Contraband, I'm not to blame
We are not the same
I chose this path, payback
Pesa by any means
If you know what I mean
We run things, control the scene
Nilitoa wapi gari na sifanyi kazi
Mi ni jam, jam, jambazi

Pesa
Pesa
Pesa
Pesa
(Pesa, pesa, pesa)
Who got that?
(Pesa, pesa, pesa)
Gotta get that mullah, skrilla, ganji
Paper chaser
(Pesa, pesa, pesa)
I need that
(Pesa, pesa, pesa)
You want it
(Pesa, pesa, pesa)
Mi nataka dough, chwa, mafuta
Chapaaa
(Pesa, pesa, pesa)
Gotta have it

Pesa
Pesa

I'm so hashtag blessed
Hashtag fit-life
Hashtag winning
Hashtag live right
I don't have to struggle with that 9 to 5 life
Drink my slim tea
Wacha niku-train
Hii life ukitaka ku-make dough
Lazima uflex, jo
Ufungue macho
Opportunity ziko
Hustle kila mahali
Hii game ni kusaka

Social media ikue na content
More likes, more mentions
Watu wakupee attention
Na later utakuwa na pension
There's a fine line between truth and lies
To get the answer, like and subscribe
Follow on Insta for motivation
Follow on Twitter for hateration

Pesa
Pesa
Pesa
Pesa
(Pesa, pesa, pesa)
Who got that?
(Pesa, pesa, pesa)
Gotta get that mullah, skrilla, ganji
Paper chaser
(Pesa, pesa, pesa)
I need that
(Pesa, pesa, pesa)
You want it
(Pesa, pesa, pesa)
Mi nataka dough, chwa, mafuta
Chapaaa
(Pesa, pesa, pesa)
Gotta have it

Msidhani tu nilizaliwa blessed
Ni hard work na bidii tu
Weka Mungu mbele 'takuinua juu
Si ku-pop bottles kwa kilabu
Nili-bid tender jana na ishaiva
Matunda za Yesu zishajipa
Ni baraka tu si ndumba
Niki-smile kuna watu wananuna
Wanataka kuwa pahali niko ki maisha
Wengi wenu form ni kujistaraabisha
Shida yetu kenya tulioza kitambo
Tangu ukoloni mpaka saa hii
Hakuna haja kujifanya si wazuri
Hadi tulipeana Kimathi
Hapa kwetu kujuana ni lazima
Kuinuana, kuskizana
Biashara bila chai ni hatia
Peana bahasha zimejaa mamita
Kama huna networks, basi iza
Basi iza, jo (Pesa)
Basi iza (Pesa)
Basi iza

Pesa
Pesa
Pesa
Pesa
(Pesa, pesa, pesa)
Who got that?
(Pesa, pesa, pesa)
Gotta get that mullah, skrilla, ganji
Paper chaser
(Pesa, pesa, pesa)
I need that
(Pesa, pesa, pesa)
You want it
(Pesa, pesa, pesa)
Mi nataka dough, chwa, mafuta
Chapaaa
(Pesa, pesa, pesa)
Gotta have it

Pesa
Pesa



Credits
Writer(s): The Nest Collective
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link