Molinga

Nambo seliye
Nambo seliye
Nambo seliye

Nambo seliye
Nambo seliye
Nambo seliye

Nambo seliye
Nambo seliye
Nambo seliye

Molinga
Uliniacha bila kusema, sema, sema
Molinga
Na niliapa sitakupenda tena, tena

Wakiniona, wananicheka
Machozi nazo zinanitoka
Kuna wakati nilikupenda
Na siku moja utanikosa

Nambo seliye
Nambo seliye
Nambo seliye

Nambo seliye
Nambo seliye
Nambo seliye

Molinga
Mapenzi yetu ilinitesa
Machozi mengi yalinitokaa
Ukweli ningesema mapema
Mwingine alikwisha nipenda
Kwa nini alitutenganisha?
Ni nini sina anayokupa mama?
Namwamini-eeh
Ananijali-eeh
Tena sana

Wakiniona, wananicheka
Machozi nazo zinanitoka
Kuna wakati nilikupenda
Na siku moja utanikosa

Nambo seliye
Nambo seliye

Nakumbuka wakati
Uliporudi mbali
Sikuelewa
Na sikusema
Nilikupenda
Na sikusema

Molinga



Credits
Writer(s): The Nest Collective
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link