Mr. President
Kenya One ndio huyo njiani
Teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati
Na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati
Hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo ndogo hatutaki
Changamka serikali wana-come
Mister President
How can you ever know
What's going on
Outside of your itinerary
Coz generally
The people around you
They go ahead of you
Cleaning and weeding
Any and everything
Too revealing
Of the true state of things
The potholes, the sins
The trafficking, the guns
The spilling of innocent blood
You fly past in your convoy
Like an envoy
First class
Will you ever touch the ground?
Mister President
Barely resident
Kenya One ndio huyo njiani
Teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati
Na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati
Hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo ndogo hatutaki
Changamka serikali wana-come
Ule chali
Amepanda bus kutoka kule mashinani
Anadai ati ako na maswali
Serikali, wapi mali?
Tafadhali hizo maswali
Peleka huko mbali nami
Na ukileta fujo
Tutakuweka ndani
Kasarani
Tuseme umebeba bhangi
Ile ulivuta na mwenzako Bonnie Mwangi
Huko tao mnapaka rangi hadharani
Mlipewa pesa na walami mkadhani
Mngeweza kutubabaisha
Namna gani?
Nyi ndio nani?
Wacha zako, hio na vako
Mtajua serikali si ya mama yako
Ingia ndani ufirwe kavu kavu kwa matako
Tunajua style yako
In the meantime
Hapa nje kazi iendelee
And in the future
Ukicheki convoy
Lazima unyenyekee
Kenya One ndio huyo njiani
Teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati
Na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati
Hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo ndogo hatutaki
Changamka serikali wana-come
Come, come
Come, come again
Saa ya campaign
Ulikuwa my best friend
Ahadi nyingi nyingi under false pretence
Ukiingia ofisi unaturusha deep end
Come, come
Come, come again
Umezungukwa na wezi
It has to be said
You learn a lot about a man
If you look at his friends
It's your turn to eat
When will this shit end?
Mtukutu Rais
Sidhani unatuskiza
Hio ganji mnasanya
Ni sisi tutalipa
Ushuru inatufinya
Hali ya maisha
Huku chini si siri
Watu wanahangaika
Ni lini mtaaacha kutubeba wajinga
Daktari wa Kenya
Mnashindwa kulipa
Lakini wa Fidel
Mnawakaribisha
Madharau ndogo ndogo
Ndio unatufanyia
Unanizoea na mi ndio nilikupea kazi?
Unaniuliza ufanye nini juu ya ufisadi?
Mbona uli-run na unajua hauwezani?
Hii nchi kusema kweli inaongozwa na nani?
Na, na, nani atatuambia
Pahali pa kupata
Wa kutusaidia
Punda imechoka
Choka kuvumilia
Rais akikuja, mi mwenyewe nitamwambia
Kenya One ndio huyo njiani
Teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati
Na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati
Hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo ndogo hatutaki
Changamka serikali wana-come
Kenya One ndio huyo njiani
Kenya One ndio huyo njiani
Teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati
Na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati
Hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo ndogo hatutaki
Changamka serikali wana-come
Mister President
How can you ever know
What's going on
Outside of your itinerary
Coz generally
The people around you
They go ahead of you
Cleaning and weeding
Any and everything
Too revealing
Of the true state of things
The potholes, the sins
The trafficking, the guns
The spilling of innocent blood
You fly past in your convoy
Like an envoy
First class
Will you ever touch the ground?
Mister President
Barely resident
Kenya One ndio huyo njiani
Teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati
Na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati
Hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo ndogo hatutaki
Changamka serikali wana-come
Ule chali
Amepanda bus kutoka kule mashinani
Anadai ati ako na maswali
Serikali, wapi mali?
Tafadhali hizo maswali
Peleka huko mbali nami
Na ukileta fujo
Tutakuweka ndani
Kasarani
Tuseme umebeba bhangi
Ile ulivuta na mwenzako Bonnie Mwangi
Huko tao mnapaka rangi hadharani
Mlipewa pesa na walami mkadhani
Mngeweza kutubabaisha
Namna gani?
Nyi ndio nani?
Wacha zako, hio na vako
Mtajua serikali si ya mama yako
Ingia ndani ufirwe kavu kavu kwa matako
Tunajua style yako
In the meantime
Hapa nje kazi iendelee
And in the future
Ukicheki convoy
Lazima unyenyekee
Kenya One ndio huyo njiani
Teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati
Na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati
Hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo ndogo hatutaki
Changamka serikali wana-come
Come, come
Come, come again
Saa ya campaign
Ulikuwa my best friend
Ahadi nyingi nyingi under false pretence
Ukiingia ofisi unaturusha deep end
Come, come
Come, come again
Umezungukwa na wezi
It has to be said
You learn a lot about a man
If you look at his friends
It's your turn to eat
When will this shit end?
Mtukutu Rais
Sidhani unatuskiza
Hio ganji mnasanya
Ni sisi tutalipa
Ushuru inatufinya
Hali ya maisha
Huku chini si siri
Watu wanahangaika
Ni lini mtaaacha kutubeba wajinga
Daktari wa Kenya
Mnashindwa kulipa
Lakini wa Fidel
Mnawakaribisha
Madharau ndogo ndogo
Ndio unatufanyia
Unanizoea na mi ndio nilikupea kazi?
Unaniuliza ufanye nini juu ya ufisadi?
Mbona uli-run na unajua hauwezani?
Hii nchi kusema kweli inaongozwa na nani?
Na, na, nani atatuambia
Pahali pa kupata
Wa kutusaidia
Punda imechoka
Choka kuvumilia
Rais akikuja, mi mwenyewe nitamwambia
Kenya One ndio huyo njiani
Teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati
Na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati
Hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo ndogo hatutaki
Changamka serikali wana-come
Kenya One ndio huyo njiani
Kenya One ndio huyo njiani
Credits
Writer(s): The Nest Collective
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.