Dadi

Daa de di di, msichana amekwama kwa di di
Dosi di eeh, msichana amekwama kwa di di
Daa de di dI, msichana amekwama kwa Daddy
Dosi ii eeh, msichana amekwama kwa Daddy

Minitiii mi weuh ni rosary fuata ibada hii ni rosary
Kiboko utapewa mi ndio dady, spinje za hewa ukisiza utatiii
Tia bidiii ngues ukiwa thithii tiwa ki savage ki busy baddy
Una kandasi niko ndizi ukila ndizi utachizi vizii

Piga tizi kijana piga tizi
Ukitaka perfection yoh piga tizi
Kutoka kisii na vibe ya kina stacy
You must see how i make it hivi hivi
Aaaa oooooohhhh

Daa de di di, msichana amekwama kwa di di
Dosi di eeh, msichana amekwama kwa di di
Daa de di dI, msichana amekwama kwa Daddy
Dosi ii eeh, msichana amekwama kwa Daddy

Doo fourty doh fikisha kwa core
Nifikishe kwa core
Kokoriko masaa ya jogoo kwani iko?
Kwani iko nini kwani iko?

Kuni ni za nini uliza Shiko? kwangu kuna bash nauza tiko
Ugali haijaiva geuza mwiko nataka kuuma niko na kijiko
Ziko wapi hizo makondiko, chupa iko wazi kifuniko
Usishake soda ya coke here we go

Kula ndio ndim Msichana kula ndio ndii
Ma slay queen wa githu joo ni wagondi
Boory za bui bui tuliza tu, mtaka cha mvuguni utakula who?
Utakula nani bro utakula who?

Daa de di di, msichana amekwama kwa di di
Dosi di eeh, msichana amekwama kwa di di
Daa de di dI, msichana amekwama kwa Daddy
Dosi ii eeh, msichana amekwama kwa Daddy

Credits
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link