Masoshi

Hii ni ile doba ya masoshi venye si luku huwa tume wasosi
Aaaahhh, eeeeeh
Hii ni luku moja saf sana ukipita rong chuom tunasafashana
Luku fresh Leo kuliko jana na si unajua njumu nita change mchana
Kanadai dose me offer kila day na venye nampenda mi offer kila pray
Sometimes eti mi over caddle na nywele yake soft amepaka overcado
So chill bro nikuonyeshe hii doba venye hii flow ni ivinoma
Food for thought nakulisha keroma
Usijifanye Karma huja meet Ronaaa

Hii ni ile doba ya masoshi venye si luku huwa tumewasoshi
Aaaahhh, eeeeeh!
We ni keki sijakataa lakini si klla sa ukipeana peana
Tu kizaa ki punam nam nataka Leo ujichoche uwaonyeshe hawatoshi
Taki ya studio imenmweka kijana akue soshi
Naringa kijana anagawa gawa manoti
Kwa dinga keja kando konkodi nimechora kape ikivuta matire
Na masoshi mtaa zing me nadir husemanga kama gera
Me ndio husemanga orosho nime ogopewa
Me ndio kusema studio zote nimeenda
Juu me dio kuruka turorwetupime tena
Mkali zaidi yao manager bar tender
Hii ni ile doba ya masoshi venye si luku huwa tumewasoshi
Aaaahhh, eeeeeh!

Finesse ni boy kutoka nears venue me hufinase Mara tara
Sidungi para wanapenda hii para naweza Dunga suti na Chini
Ini sahara
I G me ni biggie thao na mashilingi
Bado na simulazione kubwa na bado stringi
Introduction ni soci wa ma moshi
Warosho ni wa coast na mbogi ni ya migori
Wacheki hio luku mchina si we are sorry
Na kila sa maswali kwani tu what time are you posting
So cheeky wanashtuka wakituona jo kwa main frame
Si moshi me hupiga huwanga jo ni ma high grade
Ka poko fungi duke itabidi amemixis
Ni genge sio rhumba tupatane idhaa ya garage train
Hii ni ile doba ya masoshi venye si luku huwa tumewasosi
Aaaahhh, eeeeeh!



Credits
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link