Dumba

Dumba eeh
Wale wanashindwa kwani tulifanyaje
Dumba
Wale

Verse
Eeh uyu omukhana na honey
Simu zote mbona hupatikani
Nimekua nikisaka money
Juzi juzi nilifika 18
Nyani hupanda miti hadi mwili joh
Yaani naifanya fiti hadi joh
Vampire
Kuna nduru magizani
Mii hupenda maji za chupa ka dasani

Verse
Dumba
Ushaamua
Ex wangu alisema ataniua
Sina money lakini im not poor
Chafua luku juu najua nitafua

Chorus

Dumba
Aah wale wanashindwa kwani tuulifanyaje (×2)
Dumba
Sisi tunashindwa tulifanyaje
Dumba
Ee sisi pia tunashindwa ati tulifanyaje
Dumba

Verse
Sina deni nishalipa kaisari
Si hufanya kazi wanawika si husari
Nitafichua hadi kasiri ni kali
Na hizi sides zetu salamu joh ni vibare
Sina box ngeus ako inade
Beat ya Mavo inachapa kama radi
Hawana form kujieni tu uradi
Hana ndom wanatumia magadi
No need ya kuuliza si unajua tu ni nani
(Si unajua tu ni nani)
Yeah si unajua tu ni
No need ya kuuliza si unajua tu ni nani
(Si unajua tu ni nani)
Yea si unajua tu nina

Dumba

Wale wanashindwa kwani tulifanyaje (×2)
Dumba
Sisi tunashindwa kwani tulifanyaje (×2)

Verse
Flow iko tight inaburn
Flow inaflow kama tana (flow)
Flow itabaki umeitana
Flow inaburn inaburn kama burner

Flow iko tight inaburn
Flow inaflow kama tana
Flow flow itabaki umeitana
Flow inaburn inaburn kama burner

Dumba
Wale wanashindwa kwani tulifanyaje (×2)
Dumba
Sisi tunashindwa kwani tulifanyaje (×2)



Credits
Writer(s): Joseph Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link