Highschool Love

Nataka nikupe highschool kinda love
Nataka nikuone nataka nikusome
Nataka nikupe highschool kinda love
Nataka nikuone nataka nikusome

Hey gal it's me jay yah who else
Been a minute but no one has taken your place
Pace in the west eye ball no lense
Nakumbuka breakfast spending time and the rest
I still have your books i still love the looks
Tuki sneak kwenye loo
Tuki loosen the hooks
I still miss the smiles
The first times on wine
The tuitions and school trips and jokes ki design
Kisses and hugging
These are kinda history
Making love lab tushashikwa double chemistry
Sihitaji pharmacy ugonjwa wangu tiba we
This is craziness I miss the old days baby

Nataka nikupe highschool kinda love
Nataka nikuone nataka nikusome
Nataka nikupe highschool kinda love
Nataka nikuone nataka nikusome

Unakumbuka ile day tuki sneak out
Kunilaumu kila time tukishikwa
Kujifurisha mashavu kuuchuna
My girl
Unakumbuka zile letter nilituma
Ukashindwa kuzileta ukawatuma
Rafiki zako kuja kwangu kunichana
You're my girl
Ulikasirika sana nilipobonga na wengine
Chuo tulijulikana
Ulikasirika sana nilipobonga na wengine
Chuo tulijulikana yeah yeah yeah

Nataka nikupe highschool kinda love
Nataka nikuone nataka nikusome
Nataka nikupe highschool kinda love
Nataka nikuone nataka nikusome

Eyo my lady nataka sana uniamini
Upendo wako kwangu haujapotea
Tangu zamani mi niliwai kukiri
Wakunipenda kamwe hajatokea
Eyo my lady nataka sana uniamini
Upendo wako kwangu haujapotea
Tangu zamani mi niliwai kukiri
Wakunipenda kamwe hajatokea

Nataka nikupe highschool kinda love
Nataka nikuone nataka nikusome



Credits
Writer(s): Iddi Hemed
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link