Imenilemea

Nafanya yote najishuku nakukosea
Napotezea kula kuku mi nakuletea
Sikupewa mi wa chuma waumiza wangu moyo
Yamenishinda kunywa hayanipiti kwenye koo
Nilijitahidi nikaambulia kuchezwa
Tena kwa kusudi kurudi kwake analetwa
Nilijitahidi nikaambulia kuchezwa
Tena kwa kusudi kurudi kwake analetwa

Siwezi na hali hii
Kuteseka mi nikuridhishe mama
Siwezi na hali hii oh
Imenilemea
Siwezi na hali hii
Kuteseka mi nikuridhishe mama
Siwezi na hali hii
Ohh no no no no

Nikiwa siko anatoka yee
Nahangaika kutwa kucha daily
Nikiwa sina anafoka yee
Nimekubali bora mama uende
Nimejitambua sasa ishakua kwa mdhamini nenda kalale
Nimejisumbua sasa napumua huna ujanja toka kadange

Nilijitahidi nikaambulia kuchezwa
Tena kwa kusudi kurudi kwake analetwa
Nilijitahidi nikaambulia kuchezwa
Tena kwa kusudi kurudi kwake analetwa

Siwezi na hali hii
Kuteseka mi nikuridhishe mama
Siwezi na hali hii oh
Imenilemea
Siwezi na hali hii
Kuteseka mi nikuridhishe mama
Siwezi na hali hii
Ohh no no no no

Unajiona gwiji unaruka viwanja huna haya wee
Siwezi panda miti udongo wako mbaya we dada wee
Unajiona gwiji unaruka viwanja huna haya we
Siwezi panda miti udongo wako mbaya we dada wee

Siwezi na hali hii
Kuteseka mi nikuridhishe mama
Siwezi na hali hii oh
Imenilemea
Siwezi na hali hii
Kuteseka mi nikuridhishe mama
Siwezi na hali hii
Ohh no no no no



Credits
Writer(s): Iddi Hemed
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link