Asinikatae

Je utanipenda mi siku ukijua
Visiri vyangu vyote nilivyoficha ukivitambua
Wakishasopoka marafiki ukaja jua
Pale ukweli wote ukifichuka mi nilioa
Hofu yangu ohh
Kukuuma roho
Kuja kujua utaniweka mi kando
Huruma yako uaminifu wako
Vinanisuta kuwepo yule wa kando

Naogopa asinikatae ahhh asinikatae
Naogopa asinikatae ahhh asinikatae
Mi naomba yabaki tu pale pale
Moyo wangu usiuchane
Mapenzi tu

Kwako mi napata penzi
Kamwe hatonisumbua
Sizishuku zangu tenzi
Naogopa kuugua
Huba pasi na kizizi
Kwako najitambua
Yule mwenzio ameridhi
Wengine wote pangua
Yasitukute naomba yabaki pale pale
Pasiwe na sababu mi na wewe tugombane
Lisipungue pendo lako liwe pale pale
Wasifaidi waliotamani tuachane

Naogopa asinikatae ahhh asinikatae
Naogopa asinikatae ahhh asinikatae
Naogopa asinikatae ahhh asinikatae
Naogopa asinikatae ahhh asinikatae
Mi naomba yabaki tu pale pale
Moyo wangu usiuchane
Mapenzi tu
Mi naomba yabaki tu pale pale
Moyo wangu usiuchane
Mapenzi tu



Credits
Writer(s): Iddi Maingi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link