Mama's Dream

I never had a momma
Sometimes me uwonder
Niko solo sina radar
Kwa izi streets narandaranda

Though Nagive thanks to my siz
Uliniraise ukanitoa kwa izi streets
College ukapay
Sahii me ni graduate
All the things umefanya I appreciate

Kuzaliwa July 1995
Mother alipass 1999
Four years old
Sijui nini inagoh on
Nacheki mother ndani ya casket
Nauliza budah mnapeleka mother wapi
Mbona Kila mtu amedunga suti
Mbona unalia
Son vumilia
Mother ameenda binguni
Leo ndio siku tunasema kwaheri
Sahii ametulia na angels malaika
Amekuachia baraka
Make her proud she has a dream for you
Everything you do Put God First
Educate yourself attend izo class
One day siku itakua fine
2002 budah akapass
Alone in this world me ni orphan
Me na late siz tulipelekwa childrens home
Later on Tunaishi na abusive uncle

I never had a momma
Sometimes me uwonder
Niko solo sina radar
Kwa izi streets narandaranda

Though Nagive thanks to my siz
Uliniraise ukanitoa kwa izi streets
college ukapay
Sahii me ni graduate
All the things umefanya I appreciate

At that time big siz alikua highschool boarding
Uncle Alikua anatupiga na electric wire
Ata kama tulikosea Sio fare
Heart ilikua cold time alibeat my late siz vibaya
Adi siku alipass sikulia
Tulifeel relief
Why
Freedom atlast
I bet unanifeel
Kenye naremember about my mom
Najua alikua lead choir kwa church
Akienda job na bus alinibeba on her back
Mom alikua tailor
Alinipenda Lastborn son the youngest kwa Fam
Nikaitwa Clinton alidai nikue prezo
Mama's dream iyo ndio reason sina mchezo
Me ni leader not a follower
Though niligrow up na shida sijawai feel poor
Thank you siz you like a mother to me
Nashukuru when I was arrested ulikam for Me
Gave me something to eat time sikua na any
Nilikua nafeel nimekufail
I didn't listen nilistay kwa drug game
Ivo ndo niliraise rent
Thanks again uliniongezea the rest
I promise nikiblow up I'll take care of you
Neza kupea every cent
Because you are God sent

I never had a momma
Sometimes me uwonder
Niko solo sina radar
Kwa izi streets narandaranda

Though Nagive thanks to my siz
Uliniraise ukanitoa kwa izi streets
College ukapay Sahii me ni graduate
All the things umefanya I appreciate



Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link