Nyumbani

Unanipendezea unapotembea ukitabasamu
Mi napata raha unanivutia ukiniangalia
Dunia yangu inakamilika
Uwapo tu hapa nyumbani

Nikisema ni wewe elewa ni wewe
Unayenipa kiwewe hapa nyumbani
Nilie hapo nyumbani, aii aii mama wee
Niketipo chumbani, aai aai wee

Najionea najihisia najionea, nyumbani
Najionea mahaba tu, nyumbani
Najionea najihisia najionea, nyumbani
Najionea mahaba tu, nyumbani

Sichoki sura yako nalo tamu penzi lako
Nzuri sauti yako na ucheshi wako, safari yangu kwako
Penzi langu ni lako, maisha yangu ya kwako
Ya kwako tu, kwako tu hapa nyumbani

Nikisema ni wewe elewa ni wewe
Unayenipa kiwewe hapa nyumbani
Nilie hapo nyumbani, aii aii mama wee
Niketipo chumbani, aai aai wee

Najionea najihisia najionea, nyumbani
Najionea mahaba tu, nyumbani
Najionea najihisia najionea, nyumbani
Najionea mahaba tu, nyumbani

Aii aii mama wee
Aai aai wee

Najionea najihisia najionea, nyumbani
Najionea mahaba tu, nyumbani
Najionea najihisia najionea, nyumbani
Najionea mahaba tu, nyumbani



Credits
Writer(s): Judith Wambura Mbibo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link