Nobody Is Safe 2
Ah! Mkacha nakureflect Mtanzania
Ulio jela au kwa Thabo Mbeki ulipozamia
Sicheki cheki hata ukitania
Man, hii record heavy ona haubebi hata kwa Scania
Ah! Sikiliza tenzi motomoto
Nimefuzu sitishiki na hizo kesi ndogondogo
Maemcee na verse za uongo uongo
Longolongo skiza tenzi kama mkongo wa gesi ya songosongo, nyoko
Ah, No diggity
You think you rhyme hard nigga, i rhyme hard times infinity
Far from the usual house you visit
So get your bars straight nikidrop bars ujue ni shigidi
Salamu wana sio kwema nilikotoka
Ninatema ngumu mpaka sio vyema kuokota
Nikitema nawakosha
Wanatamani niwe nabii uh! sema sina wema wa kutosha
Round kwenye jiji nasign madeal wima
Matatizo kibao na bado still nina
Punchlines na flows ma-style ma skill ting'a
Sipo chimbo nipo period na bleed vina
Sauti ya mtoto wa Afrika
Bantu iki na oko na kadharika
So hii sio stimu ya Dompo na Baltika
Huu ni uwezo napeleka joto Antarctica
Mdingi nina verse nyingi kushinda Bible
Nina punchline na sina haja ya rifle
Naiwaza future unavyopigania survival
Ukinivamia naua career nashika title
Alphabet, irable, digits, silabi
Toka Nonde mpaka SUA na spit nafika kila street
Makapuka janjaro na kina killer d
Bars zangu ni kubwa kushinda pyramids
Jasho kwenye kazi kusanya mtaji
Huu msako heavy ukishazingua dhambi kwako
Cambiaso nina hustle kwenye kambi
Penye chambi za kutosha ninaweka kambi hapo
Mi ni hewa, mi ni ghala la msosi
Mi ni maji
Mi ni hela, mi ndo shamba na mgodi
Mi ni kazi
Mi sio msela, mi sio danga sio tozi
Mi sio msafi
Japo class ila hapa haupozi
Mi ni mavi
Mi ni noma, mi ndo aibu inayokukuta ukweni
Mi ndo gono ngoma mimba inayotungwa ukeni
Mi ndo siri ya popobawa ninayekupitia nyuma hausemi
Na mi ndio herufi ulizofunzwa shuleni
Mi ndio Mercedes Benz, Ford mbili na Porsche
Mi ndio Langa, Ngwair, Complex, Chid na Ngosha
Nyie sayari kwenye anga mi nyota solar system
Mi ndio first degree murder wewe ndo victim
Mi ndo live scene footage
Area haitoshi residents, Dizasta ni hardcopy evidence
Mi Gadaffi, Savimbi, Dalai Lama
Mi ndo mkate kuwa wingi kipindi chai ni ngama
Tafsiri halisi ya picha hamchekishii caption
Nawachora maemcee irrational
Mara best, mara next
Geothermal power plant sihofii betrii za national
Infos kama Google ama Encyclopedia
Hata uwe na nguvu hauwezi mudu hii ni heavier
Master nimeoccupy area
Kama maada ama nyimbo mbovu zilivyo occupy media
Tangu siku nimetupwa kwa sayari
Ndipo wakatabiri yatavunjwa majabali
Wajuba wakaanza kurusha ndumba ni hatari
Na mtume nikatupa infos kama chumba cha habari
Nawapeleka mbingu ya saba
Mbingu ya mbali
Mbingu isiyofikika hata kwa stimu za shada
Nawafundisha misa muiheshimu ibada
Msisahau mimi ndio mzimu wa Langa
Niko juu sana
Nipo juu and I'm lonely
Sometimes naona kuwa juu peke yangu, it's getting boring
Na rhyme so smooth mpaka Copenhagen Denmark
Na hiki sio kipaji hii ni brain act warning
Ngoja niji introduce properly
Mi ndo domination system kama monopoly
I'm your wish, I'm you lottery ticket for your poverty
Na hii ndo daylight robbery
Dizasta Vina ni kina joh sabini
So wakazi kadhaa wa kitongoji mkija njoo makini
Ah! naona vipepeo kwa bustani
Wanaruka ila sioni wa kuflow kama mimi
Hii ndio njaa iliyomfanya kicheche kudanga
Na itafika mpaka Unguja, Pemba, Wete na Tanga
Naacha doa kama chui ama ndui ama tetekuwanga
Na huu ndio mfano wa cheche kuwaka
Nyingi nimwage wapi
Zimeni system nizame kingi nipande chati
Kanunueni vyenu acheni hivi nipake rangi
I'm a wolf nigga upande Big upande Pac
Ah! Naona tu madudu
Rappers wanajua kurap lakini kichwani ni watupu
Hawana vision kama zuzu
Nawapoteza wakipotea huwezi wapata hata kwa google map
Nafanya ionekane simple
Ujuzi uliobobea unafanya mnione kama kifo
Ufundi na hii miiko ifundishwe mpaka disco
Zima drama za wasanii ili ionekane hiphop
Najua unahisi hii ni battle, may be
Kwangu hii ni alamu ili uwe macho daily
So ukileta za kindezi lady
Nitakuvuruga mpaka umuite babaako baby
Kisu kikali egesha govi mbali
Extra kwenye fiction huwa naweka story kali
Extra kwenye kichwa extra high extra miles
Exercise Dizasta vina ni extra ordinary

Credits
Writer(s): Edger Vicent Mwaipeta
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.