Unayejali

Mungu unayesikia kilio cha wana wako
Sikia, sikia
Mungu unayesikia maombi ya wana wako
Sikia,sikia
Mungu unayetatua shida za moyo wangu
Tatua, tatua
Mungu unayeona harI'mu na haki
Angalia,angalia

Machozi yangu utapanguza
Maumivu ya moyo utayaponya
Aibu yangu utaondoa

Unayejali
Mungu unayejali
Mungu unayejali

Machozi yangu utapanguza
Maumivu ya moyo utayaponya
Aibu yangu utaondoa

Unayejali
Mungu unayejali
Mungu unayejali



Credits
Writer(s): Peterson Githinji
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link