Lilete

Yule Yule tunayesoma Aliumba mito na milima
Yupo hapa leo Yule Yule tunayesoma Aliwaponya wote wagonjwa
Yupo hapa Leo, Yupo hapa Leo

Ni Jambo gani gumu kwako
Lilete, lilete kwake
Lilete, lilete kwake

Ukipita bonde la mauti, Usiogope huyo adui
Hivyo ndivyo alivyosema
Sahau yote yaliyopita
Hivyo ndivyo aliahidi Hivyo ndivyo aliahidi
Hivyo ndivyo aliahidi Hivyo ndivyo aliahidi

Ni Jambo gani gumu kwako Lilete lilete
Ni Jambo gani gumu kwako Lilete lilete
Ni Jambo gani gumu kwako Lilete lilete
Ni Jambo gani gumu kwako Lilete lilete



Credits
Writer(s): Peterson Githinji
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link