Ulisema

Wewe Sio binadamu, Wala Sio sanamu
Unasikia unaongea unatembea
Ulichosema ninaamini utanitendea
Huwachi kitu katikati,Huwachi mtu njiani

Wewe mwaminifu Kukamilisha ulichoanzisha
Wewe mwaminifu Baba

Nashikilia maneno Baba ulisema
Nashikilia ahadi
Nashikilia maneno Baba ulisema
Nashikilia Imani

Ulisema,ulisema Baba
Ulisema Ahadi zako Ni Yeeh Na Amina
Ulisema,ulisema Baba
Ulisema na ukisema Baba utatimiza
Ulisema na ukisema Baba utatimiza

Wewe Sio binadamu, Wala Sio sanamu
Unasikia unaongea unatembea
Ulichosema ninaamini utanitendea
Huwachi kitu katikati,Huwachi mtu njiani
Wewe mwaminifu Kukamilisha ulichoanzisha
Wewe mwaminifu Baba

Nashikilia maneno Baba ulisema
Nashikilia Ahadi
Nashikilia maneno Baba ulisema
Nashikilia Imani

Ulisema,ulisema Baba
Ulisema Ahadi zako Ni Yeeh Na Amina
Ulisema,ulisema Baba
Ulisema na ukisema Baba utatimiza
Ulisema na ukisema Baba utatimiza



Credits
Writer(s): Peterson Githinji
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link