Falling In Love (feat. Nadia Mukami)

Utamu wa mapenzi, sitamani uishe
Sitamani ukatike, tusifike mwisho
Mmmh, deka mpenzi ukitaka nikulishe
Na pete nikuvishe mi nawe mpaka kifo
(Motif di Don)

Nimeamua moyo umekuchagua
Hakuna wa kusumbua mimi ni wako
Mmmh, naomba dua
Penzi lizidi chandua
Na lisiache kukua nibaki kwako

Malaika, wamefananisha
Uzuri usojificha we wangu wa maisha
Malaika, wamefananisha
Uzuri usojificha we wangu wa maisha

I'm falling in love, fall in love
I'm falling in love, fall in love

Tabasamu lako (lako)
Midomo macho (macho)
Upendo huduma umezawadiwa

Tamu tamu yako (lako)
Sitoki kwako (kwako)
Mapendo huruma umejaaliwa

This is the love
I have been looking, forever mine
I have been searching my baby
With you

No no no no, this is the love
I have been waiting, forever love
I have been searching my baby
My baby

Malaika, wamefananisha
Uzuri usojificha we wangu wa maisha
Malaika, wamefananisha
Uzuri usojificha we wangu wa maisha

I'm falling in love, fall in love
I'm falling in love, fall in love

I'm falling in love, fall in love



Credits
Writer(s): Faith Mukami Muendo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link