Wanaweweseka

(Ne-Next level music)
Ooh, ooh
(Wanaweweseka hao)
(Wanaweweseka hao)

Wenye wivu wasijinyonge, ila wapigwe shoti wafe
King'asti wangu yuko hapa hapa, usinishike bega niache
Nakupa yote mumunya, utamu wa pipi mate
Baby kwa mapenzi huko chuo, hauko tena kindergarten

Marashi ya Pemba, amechanganya na tanga huyu
Mtoto kama Saida Karoli, anavyochambua karanga
Na simwachi nampenda, ye pete mi chanda
L-O-V-E (I love you), kama Kassim Mganga

Pressure inapanda, pressure inashuka
Wanaovimba watapasuka
Niki-kupost namba Insta patachafuka
Watatamani ku-hacki waje kufuta hao

Lelele (Wanaweweseka hao)
Wanakupa bundle, watuperuzi (Wanaweweseka hao)
Mama nipe mambo, tuwaudhi (Wanaweweseka hao)
Basi chekacheka ukidekadeka na mimi (Wanaweweseka hao)

Ndege eh, tausi, maringo na tege eh
Umbo kifusi, nyuma kishindo
Nikubebe eh eh, na wenye chuki wakate shingo
Sitaki rede eh, nina bunduki na weka lindo
Udongo gani, unaokufinyanga mwali we'e?
Mganga gani, al'opiga manyanga mwali we'e?
Majungu simtaji (ayaya)
Maneno sio radi (ayaya)
Jasho linawatoka maji (Mmh, I love you daddy)

Marashi ya Pemba, amechanganya na tanga huyu
Mtoto kama Saida Karoli, anavyochambua karanga
Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda
L-O-V-E (I love you), kama Kassim Mganga

Pressure inapanda, pressure inashuka
Wanaovimba watapasuka
Niki-kuposti namba Insta patachafuka
Watatamani ku-hacki waje kufuta hao

Lelele (Wanaweweseka hao)
Wanakupa bundle, watuperuzi (Wanaweweseka hao)
Mama nipe mambo, tuwaudhi (Wanaweweseka hao)
Basi chekacheka ukidekadeka na mimi (Wanaweweseka hao)

Credits
Writer(s): Unknown Writer, Siraju Amani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link