Honey (feat. Ray C)

I love you baby

Honey
Love
Sweetheart
Teamo
My love
My baby my everything

Ananiamsha kwa mabusu mabusu
Mama ananipa massage ya mwili kwa chuchu

Nyama ananipa biriani upaja wa kuku
Jaama mbuzi kaja zizini Simba na Zuchu
Na wanune wanune, wanunee
Naiwaume wakose chakusema paka shumee

Najua ina wachoma choma kushinda pini
Wana tamani ndo wange kuwa mimi
Unavyo nipa joto senti greed 60, Aah! Raha!

Maji changanya hiriki na mdalasini
Lowesha nguo nisiende kazini
Ni kichafuka nifute kwa ulimi, Aah! Haraa

Ah!

Ooh! Oooh! Oooh! Ooh!

Honey, Love
Sweetheart, Teamo
My love, My baby my everything

Aaah!

Honey yeah (Love) love
Sweetheart, Teamo
My love, (My baby my everything) My baby my everything

Hey yeah yeah yeah!
Hey yeah yeah yeah!
Hey yeah yeah yeah!

Mapenzi ni kama upepo
Unavuma ukipepea myoyo yetu
Maumivu nini kwetu vicheko
Wale wanao nuna hizo sio shida zetu

Na wanune wanune wanunee!
Na iwaume, wakose chakusema paka shume

Si ulimuacha, Acha tukusaide
Sa nikonae, Acha tukusaidie
Ulisema wanini, Acha tukusaidie

Acha tusaidie, Ukasema umemchoka, Acha tukusaidie
Leo macho yana kutoka, Acha tukusaidie
Unanuna nini wewe, Acha tukusaidie

Ooh! Oooh! Oooh! Ooh!

Honey, Love
Sweetheart, Teamo
My love, My baby my everything

Aaah!

Honey yeah (Love) love
Sweetheart, Teamo
My love, (My baby my everything) My baby my everything

Sound Boy



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link