Manyaku

Blaq (blaq)
Blaq kwenye beat
They call me toto bad

Sir God kaumba kapatia
Hana dosari anavutia
Sebule kwa chumba kajazia
Ladha asali ananatia

Akitupia anapendeza kama mdoli
Lips color mpaka raha kama kachori
Namba D car haijatembezwa bado kigoli
Kama kungu kala mpaka raha jicho goroli

Kama samaki sangara hiyo mikogo
Manyaku kama nawaona mimacho kodo mie
Akinitachi tachi moyo una dundaga
Una dundaga
Akisema sitaki akinuna moyo una dundaga
Una dundaga

Wapo wataosema hunifai ili wakuchukue
Waniachie majanga penzi wachakachue
Watakodi mandinga matai ili wakuzuzue
Wajitie waganga penzi waligangue
Ujasiri sina wakuvumilia ninapoumizwa
Huo moyo sina nikizama kina mpaka giza

Kama samaki sangara hiyo mikogo
Manyaku kama nawaona mimacho kodo mie
Akinitachi tachi moyo una dundaga
Una dundaga
Akisema sitaki akinuna moyo una dundaga
Una dundaga

Manyaku nyaku manyaku nyaku
Manyaku nyaku manyaku nyaku
Manyaku nyaku manyaku nyaku
Manyaku nyaku manyaku nyaku
The mix killer

Ostrich music



Credits
Writer(s): Marioo Mwanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link