Kongoro

Mi ningefanya na nani
Kama usingekuwaga wewe
Mapenzi ningeyajuliaga wapi
Japo na uzuri wa angani
Nami kifaranga we mwewe
Na wala hujanifanya kitu mbaya

Nishapitiaga magharibi
Nikatokeaga mashariki
Nikachomwa jua na baridi
Kusafa sifa kama zako

Kwako nimetulia maji kwenye mtungi
Utake nini nikapambane nikupatie
Mi kwako nimefika
Kigoma mwisho wa reli
Ukiniacha na wewe
Nitapururuka nitabakia

Kongoro!
Na si nitakonda nitabaki mifupa
Kongoro!
Mwenzako mawazo yatanimaliza
Kongoro!
Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
Kongoro!
Aaa yii aaah aah

Kwanza nani atatokea
Awezekano ndengea
Chakula cha usiku nisosomo
Nisosomolee

Nani atajua kuniponza ka siko sawa
Turumbwe na usahifu aah
Nikiambiwagwa mabaya ya kuhusu wewe
Masikio inaziba yenyewe
Sielewagi naona vitu vyajipa vyenyewe

Kwako nimetulia maji kwenye mtungi
Utake nini nikapambane nikupatie
Mi kwako nimefika
Kigoma mwisho wa reli
Ukiniacha na wewe nitapururuka nitabakia

Kongoro!
Na si nitakonda nitabaki mifupa
Kongoro!
Mwenzako mawazo yatanimaliza
Kongoro!
Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
Kongoro!
Aaa yii aaah aah

Kongoro!
Na si nitakonda nitabaki mifupa
Kongoro!
Mwenzako mawazo yatanimaliza
Kongoro!
Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
Kongoro!
Aaa yii aaah aah

Mi nitakonda nitabaki mifupa
Mwenzako mawazo yatanimaliza



Credits
Writer(s): Marioo Mwanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link