Roho ya Guru (feat. Harry Vice)

Bei ukiulizia uwe na roho ya ununuzi
Paparazi julikana ana roho ya uchunguzi
Kupewa dhamana uwe na roho ya ukagauzi
Na bado wapo weusi wenye roho za ubaguzi
Kula bata ndo roho ya vijana
Huwezi nyoa zungu ka unaroho la kutana
MaMc wengi wanaroho za kubana
Guru master tangu young me naroho ya kuchana
Kupata mema uwe na roho ya subira
Japo subira naye ana roho ya hasira
Kapata kazi uwe na roho ya ajira
Fanani sina kazi bila roho ya hadhira
Waongo wote wana roho ya nyoka
Mama mchoyo naye ana roho ya toka
Maendeleo bila hustle eti roho ya nyota
Vunja sheria dogo upate roho ya lockup
Kula nyoka uwe na roho ya kichina
Malaya katu hana roho ya kupima
Na ukifata sana ibada unakua na roho ya bwana
Wachaga wote wana roho ya cent
Labda ngasa siku zote hana roho ya flent
Sishangai kukosa na una roho ya cent
Dada ogopa sana kuwa na roho ya sex

Ukiwatazama roho zao
Haziendani na matendo oo
Huwezi ficha sura zao
Kamwe huwezi ona pengo oo
Twakula nao
Hata hapo ulipo upo nao (Hawakwepeki)
Twashindana nao (Wenye roho feki)

Mama analia kisa roho ya mwana
Kijana amekua sijui ana roho ya laana
Swali kwako kijana hauna roho ya iyana
Mama asilie tena epuka roho ya jana
Pewa sifa udhani una roho ya lamar
Wanasem guru master menna roho ya ustar
Ukiwa uchi huna roho ya kuvaa
Sivai Gucci na nina roho la kung'aa
Mabeki wote wana roho za kukaba
Acha familia huna roho kama baba
Ogopa sana paka ana roho kama saba
Sio kila mganga ana roho ya kulaba
Baada ya songa Guru na roho safi
Sipendagi ubishi uliza na roho ngapi
Nachojua huwa nina roho flati
Swali kwako mjanja umeonaga roho wapi
Hustle zangu zina roho ya sichoki
Kufa kijemedari sijui na roho ya kipoti
Maendeleo yangu yana roho ya sikosi
Hata roho ya joketi sio roho ya kidoti

Ukiwatazama roho zao
Haziendani na matendo oo
Huwezi ficha sura zao
Kamwe huwezi ona pengo oo
Twakula nao
Hata hapo ulipo upo nao (Hawakwepeki)
Twashindana nao (Wenye roho feki)



Credits
Writer(s): Bruno Bruno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link