Waya Session two

Mara paap panakucha napata ndizi na supu
Alafu mchana nimewaka nakula wali na kuku
Wakati najiuliza ntakula nini usiku
Nazinduka gafla kumbe nakula ganja la buku

Na hizi verse ziko hard usije pima kwa kidumu
Hazipimiki hazifichiki kama bando la kudumu
Nawaungia free wifi wanabaki wananizoom
Nikizama tu Ig ijulikane sina boom

Get down, me ndo dingi ninabonga
Nikisema nishasema na mapimbi watachonga
Me kuchora nishachora
Line zinawaka kama nguo za mapacha
Tembea kibatabata ukichoka kipakapaka

Najiona ka mchungaji nyikani mwenye kondoo
So sitaki kula bata wachafu naona so
Kila nikipiga hodi jirani anafunga door
Dem alinitafuta nkajua dawa ni mb

Na nywele za kipare naeza kata suka fuga
Ukikutana na watasha unaeza kaza kacha dinda
Baby Dar joto ntakupoza na mafinga
Sirembagi kwenye show unaeza sema ata ni ninja

Kupinganapingana ndo staki na mawaki
Mana kupinganapingans nasema ndo uwaki
Usela ukiwa mwingi sometimes ndo unafki
We ni simba ama yanga tukutane kwenye chaki

Mwambieni chau Lee msikitini sio church
Aliyosema yote kweny best Rapper no fact
Sitowaangusha fans wangu ahh wap
Muulizeni ngelangela am the deal mother f

Wanadata na hizi flow navo switch
Barz mpaka barz zinang'ara sina jiki
Watoto wakishua wananipenda kama pipi
We sema sina pesa me naparial kila wiki
Uhhh
Nimeshamwaga verse
Nitam ka msosi
Washeni sas 4G
Mpaka kwa kitochi
Siwezi kwenda OP
Na slang ka BMC
Mpaka Vannykhan anasem ni kitu OG

Lazima uwe na speed ukitaka kumdaka swala
Ni bora uwe na imani ndo uende ukafanye sala
Usitoroke Ochaz kuja mjini kuna msala
Usione wanapost mambo safy iyo mikwara tu

Skuizi haturembi maana kila kitu wazi
Nkikupanga kuwa mkweli kama jimbo lipo wazi
Washa taa me ntazima nipo fiti kwenye kazi
And am stick to ma way pika mboga weka nazi

Dingi anasema nizidi kukaza
Mama ako anasema uzidishe
Na ukija kupata usije kusaza
Kipaji umepewa kushika kipaza

Show kali yani mpaka mic inazima
Si utani watu nawabeba mazima
Me msanii flow zinawachoma kinyama jamni
Mikono juu uku unasema yeyee yeyee yeyee yeeeya
Yeyee yeyee yeyee yeeeya

Show kali yani mpaka mic inazima
Si utani watu nawabeba mazima
Me msanii flow zinawachoma kinyama jamni
Mikono juu uku unasema yeyee yeyee yeyee yeeeya
Yeyee yeyee yeyee yeeeya



Credits
Writer(s): Bruno Bruno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link