Uber Na Chupa

JOFES UBER NA CHUPA
Yeah another one for the ladies
Men Nima doggy wameshikwa na rabies
Wengi, bado wananyongwa na arimies
My miss leo party umeleta ladies gals
Sura Safi ina pigwa menjes genje
Vibe na ngoma ya Shawn mendes
Figure, curves yake yote iko endless
Sponsor apes kutuma peremende
Siku ya mwisho tunapiga parapanda
Hapana taka tapa maiwa kanda
Bongolala ngoma ya bongo kanda
Tukitoka tunaitisha über
Ndani ya uber tumeitisha chupa
Uber ni chupa ndani ya uber na chupa
Tukitoka tunaitisha über
Ndani ya uber tumeitisha chupa
Uber ni chupa ndani ya uber na chupa
Nimekuja, ndani ya uber
Na angu bado jo imelipuka
Na pia nimekuja na wasupa
Tuko hapo nyuma tuna washika mathutha
Na ukishuta itabaki tumeshuka
Ikishika tunaiitisha ma chupa
Me ni chii kuna vile na ugua
Hujanitambua lakini utanijua
Hawana pesa wanashikisha ma chaser
Niko ic utadhani me ni Kesha
Reckless kushinda hate seska
Wake helpless vile rende inatesa
Tukitoka tunaitisha über
Ndani ya uber tumeitisha chupa
Uber ni chupa ndani ya uber na chupa
Tukitoka tunaitisha über
Ndani ya uber tumeitisha chupa
Uber ni chupa ndani ya uber na chupa
Tukitoka tunaitisha über

Ndani ya uber tumeitisha chupa
Uber ni chupa ndani ya uber na chupa
Tukitoka tunaitisha über
Ndani ya uber tumeitisha chupa
Uber ni chupa ndani ya uber na chupa



Credits
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link