Ukicheat

Dem yako Akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa
Chali yako akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa

Dem si mpicky hamind hata pikipiki
Sipendi dem wa feeling huwa msticky
Unatumanga fare na huwanga hafiki
Marifiki wake wengi wanafiki
Dem yako anapenda mwanamziki
Avoid situation kama hizi Tricky
Anasaka motivation ya kupata miti
Mwenye miti beshte yako anapanga meeting
Nyama ni nyama nyama inapigwa beating
Hapa lawama ni kama zile za betting
Alama ni moja hii ni ya duku duku
Dem msupuu anageuzwa kuku
A kuku's is danger
Lenga akikishow anakupenda
Enda dont be a simp atakutenda

Dem yako Akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa
Chali yako akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa

Jana nilipatikana nikicheat ndani ya vits tena mchana mchana
Mi hukutwa na si sana sana na najua nikiulizwa ni kukanakana
Kasketi kamebana niko na nigger wa ghana
Ndo nimewasha kitire kalikua Tu kanaivana
Hangy za jana nywele sijaichana
Naskia nika hii kichwa na mwili zimeachana
Yoh kumedhoka kuna mtu kutokwa(who?)
Chali yangu anang'ora amechezwa poker (mmh)
Na jirani anajua mi niliokoka
Ilibidi nikidim juu ya ile nduki nilitoka
Missing kesi inaningoja naona ka inataka tizi
Ama naona nijifanye nimekua chizi
Aah easy baby take it easy
Unanifanya dizzy na simu user busy

Dem yako Akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa
Chali yako akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa

Hi ni kitu inafaa tunormalize
Para nimeleta ni ya paradise
Umechill na Goshodo zako zimenice
Text kutoka ex
Sex Jana mlirongoks
Mkubwa tufanye what next
Jifanye akili yako inamess
Next leta makosa zake za 5 years ago
Jam jifanye unaeza let go
Kumbuka venye alikunyimanga remote
Savage usikue na remorse
Kumbuka time Alipick Nick
Over you alipick Nick
Ex wake walienda picnic
Wallpaper Ilikua pic ya Nick
Wadau Niko hapa msipanic

Dem yako Akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa
Chali yako akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa
Dem yako Akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa
Chali yako akipata ukicheat (cheat)
Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa
Jifanye umerogwa



Credits
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link