Che Che
Che Che By Joefes ft Misanta
Ah niaje trio looks saf Dior
Tuchachishe kwa jamii kama si ni kioo
Ndio kwa mbulu tuchape vindioo Sikio tega
Mhenga au sioo Condom rada nimebeba hadi condom
You never know naeza mess then niombe pardon
Love in the air usijali nimechapa cologne alone
Celebration ninapost Malone
Na niko maji tangu juzi nimekunywa gallon
Na si stress, basi tucheze Fifa si pes
Truth or dare no more secrets
Na kukumanga leta back steps
Che che cheche cheche
Tunaparty hadi cheche Che che cheche cheche
Munapenda vitu vya cheche
Eeiy niaje Stivo umekeep it simple
Mihadarati tangu nisare siku izi me ni dingo
Mwana wa ingo vix nimefix kwa kooI missed your call
Nilikuwa loo for a call Short
I have a dream nitashinda Grammy Shida grammar
When I go see my granny Shida gani? In short life ni short
Ukona ridhe moja so don't miss your shot
Eiy na si kwa shawrry ii ni show ya Sir Gody
Ey ni fix na njoti jaba mix ya Odi
Eiy naenda home nipick na motty
Sidai kuhata ile show ya Rick na Morty
Che che cheche cheche
Tunaparty hadi cheche Che che cheche cheche
Munapenda vitu vya cheche
Niaje Pizzo number nane pizo
Hawa wasee walinishow hivyo ndivyo sivyo
Na ukimess nao unaeza pigwa kidi viding
Hakuna utoto apa no kidding Sit down
Na mama soon nitabuy sedan ya nissan
Nilikushow siku nitafika
Nakumbuka zile siku nikisikitika Katika pilka pilka zangu ka msanii
Ni funny, naenda bank juu ya hii fani Shetani
Kunifuata akinipa money Dhamani
Maisha yangu ndio anatamani
Illuminati wamenifuata tangu zamani
P to the A to the R to the T to the Y
Na stay woke Isiyekuwepo lake halipo
Polepole pole bash ni mpaka che

Credits
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.