Rithika

Narithika nikikuona
Usiku saa sita
You better come down
Kila dakika I wanna make you mine

Nasio tu ujinga
Penzi lemme crown
Kwanza vile ulivyopendeza
Penzi limeshika umeniweza
Tukifika mezani agiza
No no nooh

Kwanza vile ulivyo pendeza
Penzi limeshika umeniweza
Tukifika mezani agiza
No no nooh

Moyo wangu nisha surrender
Nishakupenda sitaki kutendwa my love
Tushafika mwisho wa calendar
Sikuzaenda staki kutengwa my love

Moyo wangu nisha surrender
Nishakupenda sitaki kutendwa my love
Tushafika mwisho wa calendar
Sikuzaenda staki kutengwa my love

Uliahidi penzi penzi
Si jana si juzi
Si leo si kesho
Wangu kidosho
Uwe wangu wa milelee

Nikubali niwe nawee
Wacha wapige kelele
Sisi tukisonga mbele mbele

Moyo wangu nisha surrender
Nishakupenda sitaki kutendwa my love
Tushafika mwisho wa calendar
Sikuzaenda staki kutengwa my love

Moyo wangu nisha surrender
Nishakupenda sitaki kutendwa my love
Tushafika mwisho wa calendar
Sikuzaenda staki kutengwa my love

Barua yako umeonaa
Ama bado hujasoma
Ninatamani kukuona
Moyo unasonona

Na kila maara naakuota
Kama tuko pamoja
Nahisi wee ndio yangu nyota
Ni wewe bado nangoja

Moyo wangu nisha surrender
Nishakupenda sitaki kutendwa my love
Tushafika mwisho wa calendar
Sikuzaenda staki kutengwa my love

Moyo wangu nisha surrender
Nishakupenda sitaki kutendwa my love
Tushafika mwisho wa calendar
Sikuzaenda staki kutengwa my love



Credits
Writer(s): Kelvin Athumani Yalibi, Maxwell Otieno Omondi, Meltas Javan Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link