Comover (feat. Unspoken Salaton)
Napenda unavyonipa vile inafaa
Miguuni mpaka kichwa ukinipapasaa
Nahisi unaniita na kwangu wewe ndio mama sitaa
Na bado we ndo sinyoritaa na hizo chuchu tu za sita
Unapenda nidekezaa ukinitembezaa
Kunibembelezaa ivyoo ndio napendaa
I wanna see you everyday
Baby ninabaridee nikupeleke migori twende holiday
Tukale ma dedede dedede
I wanna see you everyday
Baby ninabaridee nikupeleke migori twende holiday
Tukale ma dedede dedede
I wanna take you to paris
Fly mpaka dubai na vile nina machari
Mpenzi ni sukari tukifika nyumbani usipite majirani
Wengi si halali na bado watazirai
Your picture perfect na si kwa pinterest
Interesting how they see a mistake
Mechi nipee fixtue nikufix juu ya kifaxe
Bado nainsist nukucuff ka ki sansee
Si kujigamba im pretty dental when I floss
Ye ndio nataka ka ni kiatu me ndio socks
Mtangoja tudivorce I'm sorry for your loss
Nevertheless we're lesser on the source
Cn you come close wee ndo dealer
Ukitoa hizo clause sitapingaa
Napenda ukipause hiyo figure
Sita sita kupiga pichaaa
Lets shuffle tukifika round two
Tukicheza birikicho na bantu
Na vile tunarhyme tukifyatu mashamtuu
I wanna see you everyday
Baby ninabaridee nikupeleke migori twende holiday
Tukale ma dedede dedede
I wanna see you everyday
Baby ninabaridee nikupeleke migori twende holiday
Tukale ma dedede dedede
Baby come over come over
Baby pull over pull over
Mi nahangover hangover
Ni wewe ninangoja nangojaa

Credits
Writer(s): Kelvin Athumani Yalibi, Maxwell Otieno Omondi, Meltas Javan Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.