Lala

Pepo pepo wanakusema kama upepo
Tangu utoto
Tumepatana umerudi soko
Kwa mwangaza we ndo nyota waniongoza aa aaah

My dear wapendeza na sio chocha
Aaah aaah
Mwanzo unadatisha
Kifupi umeniziba unatatisha

Unavyokwenda basi rudi wamelalisha
Kata kiuno ukikatisha
Wanapenda unavyo chachisha
Basi kwendoka wanamazisha
Na taratibu uki shukisha
Macho kama yavuta shisha

Yaani kama ume Lala
La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa

Verse 2
Leo tumekuja sababisha
Harakisha usipite kwa dirisha
Mgongo unapinda unaniita
Hivo hivo tutapost insta

Nasema leo tuta trend paka twitter
Na facebook pia tutatisha
Na nguo pia mama nitakuvisha
Aaah aaah aaah

I like the way you wine wine
Girl uko nyuma uko fine fine
Uko nyuma umebeba nine by nine
You are pretty
You are sweet like a fine wine

Shake your waist
Shake your bumbum
Hiyo pipii ndio Tam tam

Chorus
Yaani kama ume Lala La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa

Verse 3
Ah unachachisha na flavour ya shisha
Nilikucheki insta chali amekushika
Nashindwa mbona mbona ulinificha
Ama ni juu studio nilikunyima feature

Na zile picha tulizipiga lini
Unajifanya jogoo tangu mjini
Uko maji ama ukona majini
Tangu lini me nikafuata dini

Nisaremia ndo tukule tu hamsini
Na sina nia kufanya tendo la kuzini
Story zako zimeshika kaska kusini

Chorus
Yani kama ume Lala
La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa
Kama ume Lala La la la la laaa



Credits
Writer(s): Kelvin Athumani Yalibi, Maxwell Otieno Omondi, Meltas Javan Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link