Neema Zako (Live)

Nishike mkono Bwana niongeze kwa njia
Ufalme wako niuone utakalo lifanyike
We ndiwe Mungu na mweza, Bwana mwenye enzi
Kwa nguvu zangu mi siwezi, nakutegemea

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Njia zako ni za haki na takatifu zaidi
Sheria yako kamilifu ushuhuda zako kweli
We ndiwe mwangaza wangu msaada wa karibu
Mlinzi wangu Ewe Bwana sasa na hata milele

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Naiweka imani yangu kwa Yesu mwana wako
Ndani yake kuna ukombozi, utakatifu wako
Mwangaza na uzima wangu, we ndiwe wokovu wangu
Maisha yangu ii salama kwako, we Bwana wangu

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone

Kwa neema zako nisamame
Kwa nguvu zako nisizame
Kwa uwepo wako nifikishe
Hadi mwisho, nikuone



Credits
Writer(s): Alexander Mzami
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link