Nguzo Yangu (Live)

Si kwa nguvu zangu wala uwezo wangu
Si kwa wema wangu wala uzuri wangu
Si kwa nia wala mapenzi yangu
Kuwa mwana wako Baba

Si kwa nguvu zangu wala uwezo wangu
Si kwa wema wangu wala uzuri wangu
Si kwa nia wala mapenzi yangu
Kuwa mwana wako Baba

Ulinijia mimi nikiwa mnyonge
Nikiwa nimezama na dhambi kunipofisha
Kwa neema zako ukanifikia
Ukaniokoa kwa wako mwana

Ulinijia mimi nikiwa mnyonge
Nikiwa nimezama na dhambi kunipofisha
Kwa neema zako ukanifikia
Ukaniokoa kwa wako mwana

Wewe ni ngome yangu Bwana
Wewe ni nguvu yangu
Wewe ni nguzo yangu Bwana
Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako

Wewe ni ngome yangu Bwana
Wewe ni nguvu yangu
Wewe ni nguzo yangu Bwana
Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako

Wewe ni ngome yangu Bwana
Wewe ni nguvu yangu
Wewe ni nguzo yangu Bwana
Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako

Sasa wakovu wako umenipa bure
Utakatifu wako Yesu umenivisha bure
Kwa mauti we umenitoa kule
Na ni kwa neema na rehema

Sasa wakovu wako umenipa bure
Utakatifu wako Yesu umenivisha bure
Kwa mauti we umenitoa kule
Na ni kwa neema na rehema

Sasa wakovu wako umenipa bure
Utakatifu wako Yesu umenivisha bure
Kwa mauti we umenitoa kule
Na ni kwa neema na rehema

Wewe ni ngome yangu Bwana
Wewe ni nguvu yangu
Wewe ni nguzo yangu Bwana
Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako

Wewe ni ngome yangu Bwana
Wewe ni nguvu yangu
Wewe ni nguzo yangu Bwana
Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako

Wewe ni ngome yangu Bwana
Wewe ni nguvu yangu
Wewe ni nguzo yangu Bwana
Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako

Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako

Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako

Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako



Credits
Writer(s): Alexander Mzami
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link